Kitengo cha mitambo katika Atabatu Abbasiyya kimetangaza nafasi za kazi kwa wanaopenda kujiunga na kitengo hicho wajaze fomu kwa njia ya mtandao.
Fani zinazohitajika ni:
Bachela ya makenika.
Bachela ya umeme.
Diploma ya umeme.
Diploma ya makenika.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01/11/2025m, maombi yote yatumwe kwa njia ya mtandao, tunatoa wito kwa waombaji wasiende moja kwa moja katika ofisi za Atabatu Abbasiyya tukufu.
