Makundi ya zuwaru wanashiriki katika usomaji wa Dua Komail mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika usiku wa Ijumaa, imeshuhudia usomaji wa Dua Komail kwa ushiriki wa kundi kubwa la zuwaru.

Ibada ya usomaji wa dua imefanywa katika mazingira tulivu na kwa ushiriki wa kundi kubwa la zuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu huandaa mazingira mazuru ya usomaji wa dua hiyo kila simu, huweka vitabu vya dua na huandaa sehemu rasmi ya kufanyia ibada
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: