Wahudumu wa Atabatu Abbasiyya wamefanya kitendo cha kiibada kuhuisha kumbukizi ya kuzaliwa Bibi Zaharaa (a.s)

Haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), imeshuhudia wahudumu wa Atabatu Abbasiyya wakifanya kitendo cha kiibada kuhuisha kumbukizi ya kuzaliwa Bibi Fatuma Zaharaa (a.s).

Kitengo hicho kimehusisha usomaji wa Qur’ani tukufu, ikifuatiwa na usomaji wa ziara ya Abulfadhil Abbasi (a.s), kisha wimbo wa (Lahnul-Ibaa), halafu zikaibwa qaswida zinazoashiria furaha ya tukio hili tukufu.

Watumishi wa Atabatu Abbasiyya hufanya kitendo cha kiibada katika siku ya Jumatatu na Alkhamisi kila wiki.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: