Mpiga picha wa Atabatu Abbasiyya amepata tuzo kwenye shindano la tuzo ya Arubaini kimataifa

Mpiga picha wa kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya Sayyid Saamir Husseini Ali amepata tuzo kwenye shindano la Arubaini kimaraifa awamu ya kumi na moja.

Amesema: “Shindano lilikuwa na ushiriki wa wapiga picha 35816, kutoka nchi 47 za kiarabu na kiajemi na nimebahatika kupata tuzo ya ubora”.

Akafafanua kuwa, mafanikio yanayopatikana kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa, hutokana na msaada mkubwa kutoka kwa uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: