Atabatu Abbasiyya inafanya kongamano la watumishi wake kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa utendaji kazi kiidara

Kitengo cha mambo ya kiidara na rasilimali watu katika Atabatu Abbasiyya, kimefanya kongamano kuhusu mambo ya kiidara na uboreshaji wa utendaji wa kiidara.

Kiongozi wa idara ya rasilimali watu Sayyid Hussein Ayubu amesema “Kongamano limehudhuriwa na idadi kubwa ya viongozi wa idara na vitengo vya Atabatu Abbasiyya tukufu, limeshuhudia kujadiliwa mambo mbalimbali ya kiidara na mbinu za kufanya kazi kiidara”.

Akaongeza kuwa, kongamano limejadili mambo mbalimbali yanayohusu wenye shahada katika Ataba tukufu na namna ya kupata shahada za kisekula, amesisitiza kuwa Ataba inajali sekta ya elimu kwa watumishi wake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: