Atabatu Abbasiyya inachangia kutoa huduma katika mji wa Kadhimiyya wakati wa kuomboleza kifo cha Imamu Alkadhim (a.s)

Watumishi wa Atabatu Abbasiyya, wanasaidia kutoa huduma mbalimbali katika mji wa Kadhimiyya wakati wa kuomboleza kumbukizi ya kifo cha Imamu Alkadhim (a.s).

Rais wa ujumbe wa Ataba tukufu Sayyid Khalili Mahadi Hanun amesema “Wahudumu wa kitengo cha utumishi wanaendelea kutoa huduma mbalimbali katika mji wa Kadhimiyya”.

Akaongeza kuwa “Wanatoa huduma kupitia vitendea kazi mbalimbali vilivyoandaliwa na kitengo, wanaondoa taka barabarani kwa kutumia gari maalum za taka kwa kushirikiana na kamati maalum za mji wa Kadhimiyya”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: