Katika kuomboleza kifo chake.. maukundi za waombolezaji zinatembea kwa miguu kuelekea katika malalo ya Imamu Alkadhim (a.s)

Makundi ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya Iraq yanatembea kwa miguu kuelekea katika malalo ya Imamu Alkadhim (a.s) kuomboleza kumbukizi ya kifo chake.

Barabara zinazoingia katika mji wa Alkadhimiyya zinashududia idadi kubwa ya waumini na kuenea kwa mawakibu za kutoa huduma mbalimbali kwa waombolezaji.

Atabatu Abbasiyya imeweka maukibu yake katika maeneo mawili tofauti karibu na malalo takatifu, wanagawa karibu sahani za chakula elfu 40 kwa siku.

Atabatu Abbasiyya inasaidia kutoa huduma zingine pia, kama vile kuongoza matembezi ya waombolezaji, kutoa huduma za matibabu, usomaji wa Qur’ani na kujibu maswali ya kifiqhi kutoka kwa zuwaru.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: