Kumbukizi ya kifo chake.. Makundi ya zuwaru yameshindikiza jeneza la kuigiza la Imamu Alkadhim (a.s) mbele ya malalo yake takatifu katika mji wa Baghdad

Makundi ya zuwaru yameshindikiza jeneza la kuigiza la Imamu Mussa Alkadhim (a.s) katika kouomboleza kumbukizi ya kifo chake katika mji wa Kadhimiyya jijini Baghdad.

Mji wa Kadhimiyya umepokea makundi ya zuwaru kutoka ndani na nje ya Iraq, yaliyokuja kuomboleza kumbukumbu ya kifo cha Imamu (a.s) mwezi ishirini na tano Rajabu.

Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya kila iwezalo katika kuhudumia zuwaru, kupitia maukibu iliyokuwa inatoa huduma mbalimbali.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: