Ibada ya usomaji wa dua imefanywa katika mazingira tulivu na kwa ushiriki wa zuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Atabatu Abbasiyya tukufu imeandaa mazingira mazuri, imeweka vitabu vya dua, imeandaa sehemu maalum za kufanyia ibada na kutoa huduma za lazima kwa zuwaru.









