Ataba mbili tukufu zimeshuhudia ibada ya kushindikiza muili wa Ayatullah Sayyid Haadi Sistani

Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya zimeshuhudia ibada ya kushindikiza muili wa Ayatullah Sayyid Haadi Sistani kaka wa Marjaa-Dini mkuu Muheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani.

Ibada ya kushindikiza muili huo imefanywa katika haram ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s), imehudhuriwa na idadi kubwa ya viongozi wa Ataba mbili tukufu, walimu wa hauza, wanafunzi na kundi kubwa la waumini.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: