Ofisi ya Siyyid Sistani imetangaza kuwa Jumanne ya kesho tunakamilisha mwezi wa Rajabu Aswabu mwaka 1447h.

Ofisi ya Muheshimiwa Ayatullah Mkuu Sayyid Ali Husseini Siatani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Jumanne ya kesho 20/01/2026 tunakamilisha mwezi wa Rajabu Aswabu, na Jumatano ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Sabani mwaka 1447h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: