Mheshimiwa Sayyid Swafi ameshiriki katika ibada ya kushindikiza muili wa Ayatullah Sayyid Haadi Sistani katika mji wa Najafu

Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya Muheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi ameshiriki katika kushindikiza muili wa Ayatullah Sayyid Haadi Sistani (r.a) ndugu wa marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani.

Muheshimiwa Sayyid Swafi amefuatana na rais wa kitengo cha uhusiano Sayyid Muhammad Ali Azharu na baadhi ya viongozi wa Atabatu Abbasiyya na watumishi wao.

Ibada ya kushindikiza muili wa Ayatullah Sayyid Haadi Sistani imefanywa katika mji wa Najafu, kwa ushiriki wa idadi kubwa ya walimu wa hauza, wanafunzi wao na kundi kubwa la waumini.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: