Atabatu Abbasiyya imewapa zawadi washiriki wa mfadi wa usomaji wa Qur’ani katika jukwaa la Al-Ameed

Atabatu Abbasiyya imewapa zawadi washiriki wa mradi wa usomaji wa Qur’ani katika ratiba ya hafla ya ufunguzi wa mradi huo.

Utoaji wa zawadi umesimamiwa na katibu mkuu msaidizi wa Ataba tukufu Sayyid Abbasi Mussa Ahmadi, mshauri wa kiongozi mkuu wa kisheria Sayyid Twalali Albiri, mshauri wa katibu mkuu Sayyid Adnani Mussawi, wamehusishwa pia waliochangia kufanikisha mradi wa usomaji wa Qur’ani.

Mradi wa usomaji wa Qur’ani katika jukwaa la Al-Ameed, umeandaliwa na kutekelezwa na raia wa Iraq.

Mradi huo umefanywa chini ya usimamizi wa Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, wameweka mikakati na kusimamia kielimu kwa kushirikiana na chuo cha teknolojia ya mawasiliano.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: