Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya imefanya hafla kufuatia kumbukizi ya kuzaliwa miezi ya Muhammadiyya

Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya tawi la wanawake, chini ya ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya, imefanya hafla ya kuadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa miezi ya Muhammadiyya, katika kituo cha Swidiqah Twahirah (a.s).

Hafla imepambwa na vipengele vingi, imefunguliwa kwa Qur’ani tukufu, ikafuata dua na ziara, kisha igizo lenye anuani isemayo (Furaha katika nyumba ya Ali –a.s-), limeelezea mazazi ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Hafla imeshuhudia shindano la kitaifa lenye anuani isemayo (Kuchomoza kwa Shabani) wameshiriki wahadhiri na kuhitimishwa kwa tenzi zinazohusu tukio hilo tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: