Chuo kikuu cha Ummul-Banina (a.s) kimetangaza kufungua milango ya usajili kwa masomo ya Tablighi na Qur’ani

Chuo kikuu cha Ummul-Banina (a.s) cha wasichana katika mji wa Najafu chini ya ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya, kimetangaza kuanza usajili wa kitengo cha Tablighi na masomo ya Qur’ani.

Masharti ya usajili:

  • - Muombaji awe anacheti cha hauza ngazi ya (mwanzo) Muqadimaati.
  • - Awe na barua ya utambulisho kutoka kwa muwakilishi wa Marjaa-Dini mkuu au ustadhi yeyote anaetambulika.
  • - Anatakiwa asipate chini ya asilimia %60 katika mtihani wa majaribio atakaopewa na kamati ya wanawake chini ya Atabatu Abbasiyya.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia link ya telegram ifuatayo: @Stu_Doc_Un_Um
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: