Chuo kikuu cha Alkafeel kinaadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa miezi ya Muhammadiyya (a.s)

Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya hafla ya kuadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa miezi ya Muhammadiyya, maimamu wawili Sajjaad na Abulfadhil Abbasi (a.s).

Hafla umefunguliwa kwa Qur’ani tukufu, zikafuata qaswida na tenzi za kidini, halafu ikaonyeshwa filamu fupi kuhusu historia ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika mazingira tulivu yaliyojaa furaha.

Chuo kikuu cha Alkafeel huadhimisha matukio yanayohusu Ahlulbait (a.s), kwa lengo la kujifunza maadili yao matakatifu na kuimarisha misingi ya Dini na utamaduni katika jamii.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: