Kitengo cha ufundi kimefanya matengenezo katika eneo la katikati ya haram mbili tukufu

Kitengo cha ufundi na ujenzi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya, kimefanya matengenezo kwenye eneo la katikati ya haram mbili tukufu.

Mhandisi wa kitengo bwana Karari Mansuri amesema “Mafundi wa kitengo cha ujendi chini ya kitengo, wamefanya ukarabati katika eneo la katikati ya haram mbili kwa viwango tofauti kulingana na vipimo vya kihandisi, wametumia vifaa vyenye ubora wa hali ya juu”.

Akabainisha kuwa “Matengenezo yamehusisha kuinua sehemu ya sakafu ya zamani na kusafisha kwa ajili ya kubadili marumaru za zamani na kuweka mpya zenye ujazo sentimita 3 na ubora mkubwa”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: