Zuwaru wamekuja kuhuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Mji wa Karbala umepokea watu wengi wanaokuja kutoka ndani na nje ya Iraq kufanya ziara katika malalo mbili takatifu na kuhuisha utiifu wao mbele ya Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya imeweka mkakati maalum wa kutoa huduma bora kwa zuwaru.