Dua imesomwa katika mazingira tulivu, kwa ushiriki wa zuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Atabatu Abbasiyya imeweka mazingira bora ya utekelezaji wa ibada hiyo, imeandaa vitabu vya dua, sehemu maalum ya kufanyia ibada na utoaji wa huduma za lazima kwa zuwaru.


