Picha zimeonyesha kudondoka matone ya mvua juu ya kubba la Abulfadhil Abbasi (a.s) na minara yake, kufuatia kuingia usiku wa mwezi kumi na tano Shabani.
Picha zimeonyesha mvua ya kheri iliyonyesha juu ya malalo ya bwana wa maji Abulfadhil Abbasi (a.s) katika usiku wa mwezi kumi na tano shabani sambamba na maadhimisho ya kumbukizi ya kuzaliwa Imamu Mahadi (a.f).






