Zuwaru wanasoma Dua Nnudba katika haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) imeshuhudia usomaji wa Dua Nnudba iliyohudhuriwa na kundi kubwa la zuwaru asubuhi ya Ijumaa.

Dua imesomwa katika mazingira tulivu, kwa ushiriki wa zuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu imeweka mazingira mazuri, imeandaa vitabu vya dua, sehemu maalum ya kufanyia ibada na kutoa huduma za lazima kwa zuwaru.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: