Ofisi ya Sayyid Sistani imetoa waraka wa mawio na machweo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani 1447h

Ofisi ya Muheshimiwa Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, siku ya Jumanne, imetoa waraka wa mawio na machweo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 1447h/2026m kwa mikoa yote.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: