Zuwaru wanaokuja katika mji wa Karbala wamehuisha usiku wa Ijumaa ya mwisho katika mwezi wa Shabani mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Mji mtukufu wa Karbala hupokea watu kutoka ndani na nje ya Iraq wanaokuja kufanya ziara kwatika malalo mbili takatifu na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya imeandaa utaratibu maalum wa kutoa huduma bora kwa zuwaru.





