Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Alkhamisi ya kesho ni siku ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Ofisi ya Mheshimiwa Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Alkhamisi ya kesho tarahe (19/2/2026m) ni siku ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 1447h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: