Makundi ya zuwaru yanahuisha usiku wa Ijumaa ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani huko Karbala

Makundi ya zuwaru yamehuisha usiku wa Ijumaa ya kwanza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya kila iwezalo katika kuhudumia zuwaru.

Ataba tukufu imeandaa mkakati maalum unaohusisha ulinzi, afya na utoaji wa huduma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuongoza matembezi ya zuwaru mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: