Dua Nnudba imesomwa katika mazingira tulivu na kwa ushiriki wa kundi kubwa la zuwaru wa Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Atabatu Abbasiyya huweka mazingira mazuri ya utekelezaji wa ibada hiyo, huandaa vitabu vya dua, sehemu maalum ya kufanyia ibada na hutoa huduma za lazima kwa mazuwaru.




