Makundi ya zuwaru yanahuisha usiku wa Ijumaa ya pili katika mwezi wa Ramadhani mjini Karbala

Makundi ya zuwaru yamehuisha usiku wa Ijumaa ya pili katika mwezi wa Ramadhani mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya kila iwezalo katika kuandaa mazingira mazuri kwa zuwaru na kuwahudumia.

Atabatu Abbasiyya iliweka mkakati maalum unaohusisha sekta ya usalama, afya na utoaji wa huduma mbalimbali, sambamba na kusimamia matembezi ya zuwaru mbele ya Malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: