Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Ijumaa ya kensho tunakamilisha mwezi wa Ramadhani 1447h

Ofisi ya Ayatullah mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa, Ijumaa ya kesho tunakamilisha mwezi wa Ramadhani na siku ya Jumamosi sawa na tarehe (21/03/2026m) ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal mwaka 1447 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: