Kitengo cha utumishi kimesafisha eneo linalozunguka Atabatu Abbasiyya

Wahudumu wa kitengo cha utumishi katika Atabatu Abbasiyya, wamesafisha maeneo yanayozunguka haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Wamefanya hivyo kwa ajili ya kudumisha usafi kwenye eneo hilo na kuandaa mazingira bora ya kupokea zuwaru.

Kazi hiyo ni sehemu ya mkakati maalum wa kuhudumia zuwaru na kuweka mazingira bora ya kufanya ziara.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: