Kitengo cha utumishi katika Atabatu Abbasiyya hutoa huduma mbalimbali kwa zuwaru wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika usiku wa Ijumaa.
Hutoa hutama nyingi zinazolenga kuweka mazingira bora kwa zuwaru, miongoni mwa huduma hizo ni kutandika mazulia katika maeneo tofauti yanayozunguka malalo takatifu.
Kitengo hujiandaa kutoa huduma bora zaidi kwa zuwaru wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuweka mazingira mazuri, hususan katika usiku wa Ijumaa ambao hushuhudia idadi kubwa ya zuwaru.





