Makundi ya waumini yamehuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Atabatu Abbasiyya tukufu imeendelea kutoa huduma mbalimbali kwa zuwaru.
Atabatu Abbasiyya ilikuwa imesha andaa mkakati maalum wa utoaji wa huduma, unahusisha huduma za usalama, afya na huduma zingine ikiwemo kusimamia matembezi ya zuwaru mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).







