Dua imesomwa katika mazingira tulivu na kwa ushiriki wa kundi kubwa la zuwaru wa malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Watumishi wa Atabatu Abbasiyya wameweka mazingira mazuri ya usomaji wa dua, wameandaa vitabu vya dua, sehemu maalum ya kufanyia ibada na kutoa huduma za lazima kwa zuwaru.





