Chuo kikuu cha Alkafeel kimeratibu program ya kupanda miti katika wiki ya maendelea awamu ya pili

Chuo kikuu cha Alkafeel kimeratibu program ya kupanda miti ndani ya viwanja vya chuo katika wiki ya maendelea awamu ya pili.

Pgrogram hiyo imeandaliwa na idara ya kilimo kwa kushirikiana na kitengo cha maelekezo ya kinafsi na kimaadili (saikolojia) na ushiriki wa idadi kubwa ya wanafunzi kutoka vyuo tofauti.

Program hiyo inalenga kuweka mazingira ya kijani kibichi katika viwanja vya chuo na kujenga uwelewa wa kutunza mazingira kwa upandaji wa miti, kwa namna ambayo inaendana na malengo ya maendeleo endelevu ya umoja wa mataifa.

Washiriki wamepongeza program hiyo na wamefurahi kuwa sehemu ya utunzaji wa mazingira na kutekeleza malengo ya mpango wa maendeleo endelevu ya umoja wa mataifa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: