Kwa picha.. Mazingira ya usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Makundi ya waumini yamehuisha usiku wa Ijumaa ya mwisho katika mwezi wa Shawwal mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Atabatu Abbasiyya imefanya kila iwezalo katika kutoa huduma mbalimbali kwa zuwaru.

Atabatu Abbasiyya tukufu iliandaa utaratibu maalum wa kutoa huduma za usalama, afya na zinginezo, sambamba na kuongoza matembezi ya zuwaru mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: