Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumapili ya kesho ni siku ya kwanza ya mwezi wa Dhulqaadah

Ofisi ya Muheshimiwa Ayatullah Mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Jumapili ya kesho (19/04/2026m) ni siku ya kwanza ya mwezi wa Dhulqaadah 1447 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: