Ibada ya usomaji wa dua imefanywa katika mazingira tulivu na kuhudhuriwa na zuwaru wa malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).
Watumishi wa Atabatu Abbasiyya huandaa mazingira mazuri ya usomaji wa dua, huandaa vitabu vya dua, sehemu maalum ya kufanyia ibada na hutoa huduma za lazima kwa zuwaru.






