Kitengo kinachosimamia haram tukufu kimeweka mabango yanayoashiria furaha ya kumbukizi ya kuzaliwa Imamu Ridhwa (a.s)

Watumishi wa kitengo cha kusimamia haram ya Atabatu Abbasiyya tukufu, wameweka mabango yanayoashiria furaha kufuatia kumbukizi ya kuzaliwa Imamu Ali bun Mussa Ridhwa (a.s).

Wameweka mapambo ya mabango kwenye korido zote za haram tukufu, yaliyoandikwa maneno ya pongezi kufuatia tukio hilo takatifu.

Jambo hilo ni sehemu ya mkakati wa kuhuisha kumbukizi za kuzaliwa Ahlulbait (a.s), kwa kuweka mapambo yanayoashiria furaha katika korido za haram tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: