Kitengo kinachosimamia uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu kimeweka mabango yanayoashiria furaha kufuatia kumbukizi ya kuzaliwa Imamu Ridhwa (a.s)

Watumishi wa kitengo kinachosimamia uwanja wa haram mbili katika Atabatu Abbasiyya tukufu, wameweka mabango yanayoashiria furaha kufuatia maadhimisho ya kumbukizi ya kuzaliwa Imamu Ali bun Mussa Ridhwa (a.s).

Kazi hiyo imehushisha uwekaji wa mabango kwenye uwanja wa katikati, yaliyoandikwa maneneo ya pongezi kutokana na tukio hilo tukufu.

Jambo hilo ni sehemu ya mkakati maalum wa kuadhimisha mazazi ya Ahlulbait (a.s), kwa kuweka mandhari inayoashiria furaha katika uwanja wa katikati.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: