Watumishi wa kitengo kinachosimamia uwanja wa katikati ya haram mbili katika Atabatu Abbasiyya kinachambulia bustani ya uwanja wa katikati, ikiwa ni sehemu ya kazi zake za kila siku.
Kazi hiyo inahusisha kuchambulia miti, kusafisha bustani, kukarabati mfumo wa umwagiliaji, kwa lengo la kudumisha muonekano wa kijani kibichi na kuweka mandhari nzuri.
Kazi hiyo ni sehemu ya mkakati wa kitengo kinachosimamia uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu, inalenga kuweka mazingira mazuri kwa zuwaru.




