Katika usiku wa Ijumaa.. kitengo cha utumishi kimesafisha eneo linalozunguka Atabatu Abbasiyya tukufu

Wahudumu wa kitengo cha utumishi katika Atabatu Abbasiyya, wamefanya usafi katika eneo linalozunguka malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Jambo hilo limefanywa kwa ajili ya kulinda usafi wa eneo hilo na kujiandaa kupokea zuwaru katika mazingira mazuri.

Kitengo kimeandaa mkakati maalum, unaolenga kutoa huduma bora kwa zuwaru, unaowawezesha kufanya ibada hiyo kwa amani na utulivu siku zote za mwaka, zikiwemo siku za matukio yanayohusu Ahlulbait (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: