Kitengo cha mahusiano kimefanya majlisi ya kuadhimisha historia ya Ahlulbait (a.s)

Kitengo cha mahusiano katika Atabatu Abbasiyya, kimefanya majlisi ya kila wiki katika ukumbi wa utawala, kuadhimisha historia ya Ahlulbait (a.s) na kubainisha utukufu wao.

Majlisi imefunguliwa kwa Qur’ani tukufu, ukafuata muhadhara wa kidini kutoka kwa Shekhe Abdullah Dujaili, ameongea historia ya Ahlulbait (a.s) na nafasi yao katika kufundisha misindi ya Dini na umuhimu wa kufuata mwenendo wao.

Kitengo cha mahusiano kinaendelea kufanya majlisi kila wiki kwa lengo la kusambaza elimu ya Ahlulbait (a.s) na kuhuisha utajo wao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: