Majmaa-Ilmi imefanya majlisi ya tafsiri ya aya za Qur’ani tukufu katika mji wa Karbala

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya imefanya majlisi ya tafsiri ya aya za Qur’ani tukufu katika wilaya ya Hindiyya mkoni Karbala.

Kiongozi wa Maahadi ya Qur’ani tukufu katika wilaya ya Hindiyya chini ya Majmaa, Sayyid Haamid Mar’abi amesema: “Majlisi imeratibiwa na Maahadi chini ya uhadhiri wa Sayyid Dhiyaa Waziri, imehudhuriwa na idadi kubwa ya wadau wa Qur’abi, aya zimetafsiriwa kwa mfumo bora wa kielimu”.

Akaongeza kuwa “Kikao kimehitimishwa kwa kuwapa zawadi baadhi ya wahudhuriaji kutokana na jitihada zao katika kuitumikia Qur’ani tukufu hapa wilayani”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: