Ofisi ya Marjaa mkuu wa dini: Mwanzo wa mwezi wa Rabiul Thani itakua Juma Mosi na kesho tunakamilisha mwezi wa Rabiul Awwal.

Maoni katika picha
Ofisi ya Marjaa mkuu wa dini Sayyid Ally Husseini Sistani (d.dh) imetangaza kua; siku ya Ijumaa tutakamilisha mwezi wa Rabiul Awwal 1438 h, na siku ya Juma Mosi sawa na (31/12/2016 m) itakua ni siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul Thani 1438 h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: