Hivi punde.. Kutoka katika upande wa kulia: Majemedari wa kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji wapo pembezoni mwa Badushi..

Maoni katika picha
Wapiganaji wa kikosi cha Abbasi (a.s) wamefanikiwa kukomboa kilometa za mraba (70) upande wa kulia wa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa gundi la kigaidi na kitakfiri la daesh katika vita inayo endelea ya (Tunakuja ewe Nainawa) na wamefika pembezoni mwa mji wa Badushi.

Kwa mujibu wa taarifa za kiongozi wa kikosi hicho, aliongeza kusema kua: “Miongoni mwa miji iliyo kombolewa ni; kijiji cha Thalja, Talul na majangwa mawili jirani na vijiji hivyo”.

Akasema kua: “Shambulio lililo ongozwa na kikosi cha (36) cha jeshi la serikali lilifanikiwa kuua magaidi (13) na kuteka wengine, pia walifakiwa kuzuia magari matatu yaliyo jaa vilipuzi yaliyo elekezwa kwao”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: