Katika mnasaba wa kuzaliwa kwa bibi Fatuma (a.s).. Ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) wapambwa kwa maua..

Maoni katika picha
Nyoyo zaelekea katika Ataba takasifu, zikiwa zimebeba mapenzi na maua katika kusherehekea kuzaliwa kwa bibi Fatuma (a.s) ndani ya siku hizi tukufu.. ukumbi wa haram ya mwezi wa familia (a.s) umepambwa maua mazuri..

Kama sehemu ya kuhuisha furaha za umma wa kiislamu katika kukumbuka kuzaliwa kwa pande (la nyama) la mtukufu Muhammad (s.a.w.w), jopo la wataalamu wa shamba boy wa Alkafeel chini ya kitengo cha utumishi wameupamba ukumbi mtukufu ndani na nje kwa aina mbalimbali za maua, ili kuingiza furaha katika nyoyo za wafuasi na wapenzi wa (Ahlulbait –a.s-) na kuwafanya waishi katika furaha, wameweka miti na maua ya mapambo katika milango ya Ataba tukufu na pembozoni mwa ukumbi wa haram takatifu.

Yamefanyika haya kutokana na athari kubwa inayo patikana katika mnasaba huu na hadhi yake kwa waislamu wote kwa ujumla, ambao wanakuja kumpa pongezi imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) katika mnasaba huu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: