Kukamilika utengenezaji wa barabara za mradi wa nyuma za Abbasi (a.s) kwa ajili ya makazi, na shirika lililo tekeleza mradi lasisitiza kua barabara zinaubora mkubwa..

Maoni katika picha
Rais wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu Muhandisi Dhiyaau Majidi Swaaigh ametangaza kua; kazi za umaliziaji wa mradi wa nyumba za Abbasi (a.s) inaenda vizuri, na imeanza kukamilika hatua moja baada ya nyingine, imebakia kidogo ikamilike, sasa hivi tunamalizia kuweka lami katika barabara zake zote kubwa na ndogo.

Akaongeza kusema kua: “Hakika utengezaji wa barabara kwa kiwango cha lami utakamilika kwa muda uliopangwa, tayali barabara zote tulizo kubaliana zimewekwa lami, ambazo ni; barabara (50) ndogo zina upana wa mita (10) na kubwa zina upana wa mita (30) na zina urefu wa kilometa (12) tayali zimesha fanyiwa ukaguzi na kuthibitishwa ubora wake”.

Mkuu wa shirika linalo tekeleza mradi huu (shirika la Sibtain la ujenzi) Ustadh Maahir Abdul-amir Salman aliuambia mtandao wa Alkafeel kua: “Hakika barabara hizi zimekaguliwa katika kila hatua, kuanzia ushindiliaji hadi uwekaji wa lami na zimekidhi vigezo vyote vya ubora, kwa mujibu wa wataalamu wa chuo kikuu cha Karbala, pia ulisimamiwa kwa karibu na wataalamu wa kitengo cha miradi ya kihandisi cha Atabatu Abbasiyya tukufu, nao wamethibitisha ubora wa barabara hizi”.

Tunapenda kusema kua lengo la mradi huu ni kuonyesha namna tunavyo jali na kuthamini juhudi za watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu katika kuihudumia malalo takatifu ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na mazuwaru wake (watu wanaokuja kufanya ziara) kuhakikisha tunawapa nyumba bora za makazi zinazo endana na maendeleo ya sasa katika ulimwengu wa makazi, watapewa nyumba hizo kwa bei ya
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: