Muonekano wa Pakistan

Maoni katika picha
Jicho la mtandao wa Alkafeel chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya tukufu linakuletea muonekano wa wakazi na miji ya Pakistan, jicho hilo lilikua pamoja na harakati zilizo fanyika katika wiki ya kitamaduni awamu ya nne (Nasimu Karbala), iliyo simamiwa na Atabatu Husseiniyya tukufu kwa kushirikiana na Jaamiatul Kauthar katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad, na kwa ushiriki wa Ataba tukufu za Iraq (Atabatu Alawiyya, Askariyya na Abbasiyya) iliyo anza tarehe: (29 Machi hadi 2 April 2017m), kisha ugeni ukaenda kaskazini ya mbali ya Pakistan, hadi katika milima ya Hamlaya, inayo zungukwa na makumi ya vijiji vyenye wapenzi wengi wa Ahlulbait (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: