Kundu la vyombo vya habari vya Karbala limetangaza kuandaliwa kwa frikwens za bure zitakazo rusha matukio ya kongamano la Rabiu Shahaba la kitamaduni na kimataifa awamu ya kumi na tatu (clean) litakalo anza alasiri ya siku ya Juma Pili (3 Shabani 1438 h) sawa na (30 April 2017 m) saa 4:00 jioni hadi saa 6:30 jioni, Frikwens hizo zinapatikana katika masafa yafuatazo:
Setellite: Eutelsat 3B
Degree:- 3.1E
F:- 11046.295
S.r:-2.220
FEC:3/4
Pol: H
Kwamaelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:
(009647708020044 au 009647706730178).