Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu watoa maelezo kuhusu waraka ulio tolewa kwa wapiganaji..

Maoni katika picha
Uongozi mkuu wa Atabatu Abbatu Abbasiyya tukufu kupitia kituo cha Alkafeel cha maalumaat na utafiti wametoa maelezo kuhusu waraka ulio gawiwa kwa wapiganaji waliopo kwenye uwanja wa vita katika miji tofauti, wenye maswali 21, yanayo lenga kuenzi hatua hii muhimu ambayo taifa linapitia kwa sasa na kutunza historia ya wapiganaji wetu.

Baadhi ya maswali katika waraka huo yaliongezwa na aliye andika, hayana uhusiano na mtazamo wa kituo, pia hayana uhusiano na Atabatu Abbasiyya tukufu, kwa hiyo; uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu umeufuta waraka huo, hivyo haupaswi kuzingatiwa.

Tunaendelea kuwaombea dua wapiganaji wetu wapate ushindi mkubwa.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: