Usia wa Marjaa dini mkuu kwa watu wanao huisha ziara ya nusu ya mwezi wa Shabani

Maoni katika picha
Usia huo ulisomwa katika hotuba ya pili ya swala ya Ijumaa (8 Shabani 1438h) sawa na (5 May 2017m) iliyo swaliwa katika ukumbi wa haram tukufu ya imamu Hussein (a.s) chini ya uimamu wa Shekh Karbalaiy, alisema kua:

Tunaelekea washerehekeaji wa mnasaba wa kuzaliwa kwa mtukufu (imamu Mahadi a.f) katika nusu ya mwezi wa Shabani, vita inayo endeshwa na jeshi letu pamoja na wanamgambo wa kujitolea, vimesababisha kuwepo kwa mashahidi wengi na majeruhi, na imesababisha kupatikana kwa idadi kubwa ya wajane na mayatima, na uwepo wa wakimbizi wengi, hivyo inatakiwa furaha za sherehe hizi ziendane na mazingira ambayo taifa linayapitia, washerehekeaji wasiwasahau ndugu zao wapiganaji, ambao kama sio kujitolea kwa muhanga furaha hizi ningekua huzuni, watenge sehemu ya zawadi zao kwa ajili ya kuwakirimu majemedari hawa, na kuwapongeza kwa kuendelea kupambana na kujitolea hadi ushindi upatikane kwa uwezo wa Mawenyezi Mungu mtukufu, pia ni wajibu wa kila mtu kufanya kila awezalo kwa ajili ya kuwasaidia wapiganaji wetu watukufu katika uwanja wa vita, na kuwasaidia wakimbizi na mayatima, na kufanya ibada kwa wingi za kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu mtukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: